
Lyrics
Verse
wewe siuliniacha kisa Sina maokoto
leo nimejipata unaleta shobo
hukujua maisha sikama unga robo
hebu niache Mimi leo ninamtoko
Chorus
oooh Leo Mimi na enjoy oooh Leo Mimi na enjoy
Verse
ona Sasa hata mawazo Sina Wala situmii bima
ila mwenzangu umekonda hata shepu huna
na aliye kudanganya ndiyo kakukimbia mazima
Sasa una tanga tanga hata nyumba ya ulisi huna
Chorus
oooh Leo Mimi na enjoy oooh Leo Mimi na enjoy









