Rehema Na Unyenyekevu

Song

Rehema Na Unyenyekevu

GidKim Melodies · 5 plays

Swahili gospel, choir style, reverent, spiritual, call and response, uplifting, worship, repeated motivational lyrics

Lyrics

Verse

Kwa kuwa mmekuwa wateule, wa Mungu Watakatifu, wapendwao,

Jivikeni moyo wa rehema, utu wema, unyenyekevu;

Kama Bwana alivyo wasamehe ninyi vivyo na ninyi.

Jivikeni moyo wa rehema, utu wema, unyenyekevu;

Kama Bwana alivyo wasamehe, ninyi vivyo na ninyi.

Verse

Kwa kuwa mmekuwa wateule wa Mungu Watakatifu, wapendwao,

Jivikeni moyo wa rehema, utu wema, unyenyekevu;

Kama Bwana alivyo wasamehe ninyi vivyo na ninyi.

Jivikeni moyo wa rehema, utu wema, unyenyekevu;

Kama Bwana alivyo wasamehe ninyi vivyo na ninyi.

Remix this song

Rehema Na Unyenyekevu

More songs

View all